Foby - Wa Mvua na Jua Lyrics
Verse....1
Sema ndo vile tu
Sina pesa ya kutosha
Ila bata letu
Tungekuwaga twalila bila pressure
Raha ni raha tu
Jama ugomvi unachosha
Na ukijua sina sina
Napenda si wakununa
Nuna
Hata fuko ikituna tuna
Si mtu mwenye tamaa
Tamaa
Si unakumbuka vizuri
Jinsi ulivyonikondeshaga
Tukaanza tena sifuri
Kisa maneno neno ya danganya totoo
Chorus....
Likizama likiwaka likipoa
Ntakuwa na wewe
Ikinyesha ikiacha
Ohh...
- Producer:Franken
- Release Date:June 28, 2020





