Tumesikia na Kwa macho Yetu ,tumeona, Ahadi za Mungu kwetu, Hakika ni Amina na Kweli.
Kila Ahadi ya Bwana hutimia kwa Wakati sahihi, hatuna hofu wala Wasiwasi.
Ni muda wa kuzikumbuka na Kukiri Ahadi za Mungu Maishani Mwetu. BEERSHEBA✍️
- Release Date:October 15, 2025Ⓡ




