Uploaded By
VIEW PROFILE
3 Followers
Karibu kwenye kipindi cha “Safari Yenye Mafanikio.” Leo tunazungumzia swali kubwa ambalo linaulizwa na wanafunzi wengi wa vyuo vikuu: Je, inawezekana kujiajiri wakati bado uko chuoni? Tunazungumza na vijana waliothubutu kuanza biashara ndogo ndogo chuoni, licha ya mitihani, vipindi, na changamoto nyingine. Karibu tujifunze pamoja
- Release Date:June 12, 2025
- Producer:Fadaboe
- Genre:Hip-Hop/Rap



