Hii ni ngoma ya kwanza kati ya utakazopata kuziskia kwenye Ep yangu "IKIPANGA"
MIDA MIBOVU ni story ya kijana "mastermind" anayeendesha maisha yake kwa kuandaa plan ya uhalifu akiwashirikisha hasa madereva wa bodaboda kisha anawagawia kinachopatikana lakini kwenye hii story bodaboda walimgeuka baada ya kufanya tukio hapo ndipo "mastermind" anatengeneza mpango...
- Producer:JohSmart,UnoFez, Producer P
- Release Date:October 19, 2020
- Album:IKIPANGA EP




