walisema hayawi sasa yamekua, video hii najua utaona changamoto nyingi saana maana ndo video ya mziki wangu wa kwanza kabisa ila comment yako niyamuimu saana kwa ajili ya kukosoa kazi za bahadae, chamuimu naitaji support zenu maana kizuri kinakuja pale unapopewa moyo na watu wengi
- Producer:mb_gang
- Release Date:March 28, 2022
- Album:New Born In the industry




