Japo sura tu
Ningemuona
Au sauti tu uh
Ataki niona Na muda ndo huu uh
Unayoyoma
Na sina unafuhuuu
na kihoma homa
Hoi tahabani mwenzake nakuwa hoi Njozi tafarani zinanisumbua ooh
Lilobaki poli bustanini hakuna ua
Hoi tahabani mwenzake nakuwa hoi
Njozi tafarani zinanisumbua ooh
Lilobaki poli bustanini hakuna ua
MWAMBIE
mwenzake nipo i.c.u uzima wangu ni yeye tu
MWAMBIE
Mwenzake nipo i.c.u uuh...
- Release Date:September 30, 2021




