Give me love ni wazo la wimbo ambalo nililipata usiku mkubwa kipindi nimemaliza kufanya kazi moja najiandaa kupumzika ndipo producer wangu akawa anagusa kinanda nami ndo nikajikuta napata melodies na
kushindwa kuendelea kulala nikaamka na kushare nae idea hadi kufikia hatua ya kupata wimbo kamili. ENJOY
- Producer:D Love
- Release Date:February 10, 2022Ⓡ
- Album:Give Me Love





