|
|
Upload
Mwanajua by Dizasta Vina
Mwanajua by Dizasta Vina

Dizasta VinaMwanajua

Dizasta VinaMwanajua

0:00
0.00% played
0:00

Uploaded By

VIEW PROFILE
Avatar

46.7K Followers

VERSE 1 Alizaliwa mashariki alifahamika mahali pote Alikuwa malaika wa ndoto zetu wote Walimwita Mwanajua kwa maana alijua vyote Alitamalaki nuru ilitua mahali kote Na kila mahala alipita watu walimuheshimu Hakwenda shule ila aliheshimika ka’ mwalimu Alikuwa mzuri kweli lakini shobo hana Hakuna aliyemgusa kwani alikuwa wa moto sana Urembo ulimuweka juu hakushuka anga zetu Alikuwa maarufu kushinda hata bwana Yesu Hata watoto walimpenda walifanya sherehe Tuliobalehe alipopita tulimwaga mbegu Ilipofika asubuhi tulimuwaza yeye kwanza Ilikuwa ni kama desturi kumfata Tulikuwa hatuli tukasaza Tuliwaonea wivu rafiki zake Mekuli na Veneranda Walikuja madogo wajanja na mapesa Wakauliza mama ukivaaje unapendeza Wakamuahidi ndizi, mawaridi na hariri Lakini jasiri rangi yake ya asili ilitesa War
  • Release Date:December 27, 2020Ⓡ
  • Album:The Verteller
  • Producer:Ringle Beatz
  • Genre:Hip-Hop/Rap
130KTotal plays
532Likes
19Re-Ups
1.64KPlaylist Adds

Playlists Featuring Artist

Rap 255

Ngoma zenye mzuka wa kibabe, moja kwa moja kutoka Bongo 🇹🇿