Siku zote katika maisha ni kweli huwa tunapitia mambo mbalimbali likiwemo la kukwazana baina ya mtu na mtu,lakin pia msamaha ni jambo muhimu sana katika maisha kwan bila msamaha hakuna maendeleo wala amani ya moyo ndomana Tusamehane kama Mungu alivyo tusamehe sisi.