Mungu ni Baba mwaminifu sana anatupenda hata katika madhaifu na makosa, Yupo tayari kutusaidia kwenye Hali zote! Na upekee wake ndio unamtofautisha na vingine vyote!
Baraka zake ni za pekee, pendo lake ni la pekee, rehema zake ni za pekee! Hachoki kutuhurumia! Kila ninalolitamani kwake amejishosheleza. Mungu akupe kuona upekee wake...
- Producer:Fisher Records
- Release Date:October 14, 2021



