THE CYPHER ni kipindi ambacho hukutanisha upcoming rappers katika jiji la mwanza kila siku za ijumaa kuanzia saa sita kamili usiku mpaka saa nane kamili usiku ndani ya 99.4 radio metro fm na kuongozwa na deejaygady
- Producer:Deejaygady
- Release Date:January 14, 2017
- Album:THE CYPHER



