Mapenzi yanaweza kuwa sababu ya kufanikiwa au kufeli maisha, ukipata mwenza sahihi kila Jambo linakuwa rahisi, Bora kuwa mwenyewe kuliko sehem isiyo sahihi, kwani we ni nani?unayeamua maisha yangu na hisia zangu usipeleke unavyotaka.NANI?
- Producer:Desekapi music
- Release Date:January 17, 2024



