Dunia yetu ya leo si ya watu kusemana
Kila alie na lake aombe Rabbi salama
Kama langu limetota lako wewe litazama
Kama langu limetota lako wewe litazama
MTU akitaka sema kwanza hutizama lake,akazunguka na nyuma kutizama yalokwake,haenuki kusimama kutangaza ya mwenzake waiyoooooooo
Salamu nimezipata ulotuma kunambia
Nasikia wajinata Leo utanitambia
Lakin utanikuta Sabaha nakungojea
Lakin utanikuta sabaha nakungojea
Munani...
- Producer:Baraka mkande
- Release Date:December 28, 2021
- Album:Munani Nami Viumbe





