Tunamshukuru Mungu kwa wema na fadhili zake! 🙌🎶
USCF NIT Choir inakuletea wimbo wa kuabudu "Mshukuruni", tukikuhimiza kumshukuru Bwana kwa kila jambo. Hii ni official live Audio, iliyorekodiwa kwa utukufu wa Mungu. Tunatumaini utabarikiwa na wimbo huu!
- Producer:USCF NIT CHOIR
- Release Date:March 31, 2025
- Album:THE SOUND OF VICTORY SE02

