Yesu alikufa nafasi yako kwa ajili ya dhambi zako nyingi na akashinda mauti na anadumu katika ushindi huo milele ili na wewe usiwe na KUSHINDWA milele. Hauwezi kupotea kamwe mikononi mwake.
Amelipa gharama ya ajabu ili upate faida ya ajabu. Unastahili upendo mwingi sana, ndiyo maana Yeye asiye na dhambi alikufa...
- Producer:Kingson
- Release Date:October 5, 2021
- Album:ANANIPENDA


