Huu ni wimbo mpya unaowapa moyo watafutaji wote kuendelea kutafuta na pia kuwaamasisha watu kutafuta bila kusikiliza maneno ya watu kama vile "pesa za wizi,wewe ni Free Mason n.k"Mhamasisho huu unaenda kwa watafutaji wote wakiwemo wanafunzi wanaopambania kufanya vizuri masomoni huku wakisimangwa kuiba mtihani au kupewa majibu.
- Producer:Fraga Recipegod
- Release Date:February 4, 2023





