Mtakao bahatika karibuni muisikilize hii nyimbo yangu mpya "Ronaldo au Messi inayohusu majigambo ya mjuvi wa mchezo wa kikubwa. Moja kwa moja nawaomba dj wote mtakaopata nafasi ya kuisikiliza hapa nitawaomba muipeleke kwenye mikusanyiko ya watu ili waweze kuisikiliza na iwe nyimbo ya taifa.