Pata nafasi ya kuutumia wimbo wangu huu mpya (Lini) nikimshirikisha Centano kumtumia mdada/mkaka yoyote unaempenda lakini unashindwa kumuambia hisia zako maana nimeishazungumza kwa niaba yako.Ni wimbo bomba sana wa mapenzi unaelezea hisia alizonazo mtu kwa mtu ampendae ila hajamuambia.Lini nitakupata.