Wimbo wangu huu unahusu mapenzi yetu dhidi ya magari yetu.Ni wimbo niliowashirikisha Young D na Abbah Peocess. Chanzo cha wimbo huu ni mapenzi ya dhati kwa gari yangu aina ya audi A4 niliyoinunua mwaka 2012 kwa matumizi yangu ya hapa na pale lakini ilipendeza mbele za watu ikawa inakodishwa na...
- Producer:Abbah Process
- Release Date:September 1, 2021





