"Bless" ni wimbo wa motisha kwa mabingwa wa kweli! 🌟 Butterfly anatuonyesha kuwa kupitia bidii, uvumilivu, na imani, kila mtu anaweza kufikia ndoto zake. Wimbo huu unahamasisha kuto kukata tamaa na kusimama imara kwa changamoto zote za maisha.
#Bless #Butterfly #Upambanaji #Mshindi #UsikateTamaa
🕊️ Sikiliza, shirikisha, na uache moyo wa bingwa uendelee...
- Release Date:December 18, 2024



![BUTTERFLY- For You [Official Music Audio]](https://i.audiomack.com/butterflytz/974781b6cb.webp?width=456)
