Asilimia kubwa ya watu unaowafahamu hawatakusaidia kutoboa. Utasaidiwa na stranger, mtu baki kabisa ambae hamjawahi kujuana kbs, hamjatoka mtaa mmoja, hamna undugu, hamjasoma pamoja, hamjafanya kazi pamoja.
- Producer:Produced by bugalee
- Release Date:November 8, 2021
- Album:CHANJO





