Mimi ni nani?Kustahili upendo unaonipa
Daima umekuwa upande wangu,Na kuniangalia Nashukuru. nilipokuwa dhaifu ulinipatia nguvu mpya nashukuru Ee Bwana.
KaaNami siku zote kwani uwepo wako kwangu ndo salama ya Maisha yangu. Kamwe sitaweza lolote bila wewe. KAA NAMI.
- Producer:ELIUD KIPIMO , JOSH KUKWA
- Release Date:April 18, 2022




