Hii nyimbo imeandikwa na Baron the pride bila kugushi sehemu yoyote, imezingatia ubunifu Kwa kuiga sauti za manguli wa hip hop bongo , Country boy, moni central zone na young lunya, Leo ni ku appreciate wanachokifanya na si vingine!!
- Producer:Sketch
- Release Date:January 27, 2024Ⓡ





