Sina mapesa Mengi na sina chochote chenye ufahari
Ila ninae Mungu ndo maana siteseki na pesa zao
Sina Maneno Mengi ulimi wangu hauna kibali
Ila ninayo Biblia ambayo inajibu la kila swali
maana aaa wanajiuliza haaa kwamba aaaa
kwanini sikaukiwi nafuraha
Kumbe nina mkono wa Jemedari hachelewi wala hawai hataaa
Mungu wangu amezidisha...
- Release Date:May 30, 2023Ⓡ
- ℗ Asagwile Mwasongwe





