|
|
Upload
Mnyunyizi Wangu by Sarah K
Mnyunyizi Wangu by Sarah K

Sarah KMnyunyizi Wangu

Sarah KMnyunyizi Wangu

0:00
0.00% played
0:00

Uploaded By

VIEW PROFILE
Avatar

29 Followers

Uninyunyiziaye maji, wakati wa ukame Huwachi ninyauke, Oh nakupenda Uninyunyiziaye maji, wakati wa ukame Huwachi ninyauke, Oh nakupenda Nakupenda, nakupenda Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda Nakupenda, nakupenda Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda Kama mti kando ya mto, Hivyo ndivyo ilivyo Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda Kama mti kando ya mto, Hivyo ndivyo ilivyo Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda Nakupenda, nakupenda Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda Nakupenda, nakupenda Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda Kiarie: "Nakupenda Jehovah wewe ni mnyunyizi wangu Unaninyunyizia maji wakati wa ukame, huachi ninyauke. Unaninawirisha Jehovah, Jina lako nalitukuza nakupenda kwa roho yangu yote. Nitakutumikia maishani mwangu Jehovah Nakuimbia wimbo mpya, sina mwingine..." Nakupenda, nakupenda Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda
  • Release Date:February 10, 2024
  • Genre:Gospel
1.52KTotal plays
4Likes
19Playlist Adds