WAZO KUU : UTOAJI WA SADAKA KWA KUZINGATIA MFUMO WA KI BIBLIA
1- Kutoka 25:1 - 9.
2- 2Wakor.9:7 - 8
UTANGULIZI:
Kuna ukweli kwamba,mali zote tulizonazo ni mali za Mungu,amempatia kila mtu kwa kadrii ya mapenzi yake, ili zisaidie mahitaji katika Nyumba ya Mungu,mahitaji ya mtu mwenyewe na kuwasidia wahitaji.Pia kuna ukweli kwamba...
- Producer:AICT KAMBARAGE INFO
- Release Date:June 25, 2024


