Tumtafakari Ayubu, mcha Mungu (Ayubu 1:1), mwenye familia kubwa na nzuri (1:2) mwenye utajiri (1:3), mahusiano mazuri na familia (1:5), mambo yote yalivyoharibika moja baada ya nyingine; mali zake (1:15-17), familia yake (1:19), afya yake (2:7-8), mahusiano yake (2:9), kilicho baki ilikuwa mahusiano yake na Mungu (1:20-22; 2:10). Giza lilikuwa...
- Producer:Eliya Kilindu
- Release Date:November 27, 2020
- Album:2020





