Leo, kijana anayempenda binti atajaribu kufanya vyote kuonesha upendo wake. Mzazi anayempenda mwanae atajitoa kwa yote kwa faida ya mwanae. Tegemeo la mpenzi au mzazi ni kuwa upendo uliotelewa utapokelewa kwa upendo pia. Pendo la ajabu tofauti na mpenzi au mzazi aliloonesha Yesu, ni kwa kupoteza vyote, mali, heshima, utukufu,...
- Producer:Elia Kilindu,Isaack Thadeo
- Release Date:May 28, 2021





