Uniongoze na huruma zako
Usipo nibariki siwezi enda
Minajuwa bila nguvu zako siwezi kuenda
Minajuwa bila nguvu zako siwezi kuenda
Kwa mkono wako kweli umenibariki, ih, ih
Kwa mkkono wako kweli umenibariki (2)
(Baraka zako)
Baraka zako ziwe na mimi,
Mapenzi yako yawe na mimi,
Namacho yako yawe na mimi
Kwa Mukono wako kweli umenibariki, kwa mukono wako kweli umenibariki
- Release Date:December 20, 2020


