|
|
Upload
MWISHO MWEMA by Maalim Seif
MWISHO MWEMA by Maalim Seif

Maalim SeifMWISHO MWEMA

Maalim SeifMWISHO MWEMA

0:00
0.00% played
0:00

Uploaded By

VIEW PROFILE
Avatar

290 Followers

MWISHO MWEMA | Kaswida Ya Kusisimua (Official Video) Katika Maisha Yako Siku Zote Omba Mwisho Mwema, Kwasababu Allah Huangalia Mwisho Wa Matendo Yetu Yalikuwaje Kama Yalikuwa Ni Mazuri Basi Tutazawadiwa Pepo Na Kama Yalikuwa Ni Mabaya Moto Utatuhusu. Mtume (S.A.W) Amesema "Yeyote Neno Lake La Mwisho Likiwa Ni Laailaha Illa Allah Basi Ataingia Peponi" Muslim. Kwa Maana Ya Hadithi Hii Ni Kwamba Inapofikia Wakati Wa Kukata Roho Kisha Mja Akatamka Kalima Tukufu Ya Laailaha Illa Allah (Shahada) Basi Mja Huyo Pepo Itakuwa Ndio Mafikio Yake. Tumuombe Mwenyezi Mungu Tufe Hali Ya Kuwa Ameturidhia Na Pepo Kuwa Ndo Makazi Yetu. #Nasheed #Uhai #Kifo #Mauti #Shahada #Nisamehe #Mama #Mola #Maajabu #Majaliwa #Kubadilika #Niongoze Kaswida: MWISHO MWEMA Wasomaji: Maalim Seif x Maalim Ally Producer
  • Release Date:April 2, 2023
  • Album:HATIA
  • Producer:Ochu Records
  • Genre:Classical
366Total plays
2Likes
6Playlist Adds