Bando MC amefunguka kuhusiana na ukimya wake wa miezi kazaa pamoja na project anayo iandaa ivi karibu na kuweka wazi kuwa mwakani anatarajia kuachia Albam
Vile vile amezungumzia ushindani wa wasanii wa Bongofleva na kueleza namna ambavyo uteam unasaidia kwa namna moja au nyingine kwa mziki kukuwa
Amefunguka mengi zaidi fuatilia
- Producer:Abdouly djuma
- Release Date:November 15, 2021




