Uploaded By
VIEW PROFILE
476 Followers
Kuna wakati changamoto za maisha na utafutaji zinaweza kupelekea mahusiano kuyumba na muda mwingine kuvunjika kabisa๐๐ฅ
Lakini ukiwa na mtu, mnayesikilizana, kuombeana na kuamini kuwa kesho yenu ni bora kuliko leo, huyo ni mtu sahihi sana kwako, mnapendezana!๐๐น๐ซถ
- Release Date:July 26, 2024
- Album:Tunapendezana
- Producer:DJ Kassu
- Genre:Afrosounds





