Wimbo wa mapenzi, unazungumzia jinsi gani Onjah amefurahia mahusiano yake ya sasa, na anaupongeza Moyo kwani ndio ulianza kupenda mpaka sasa anayafurahia mapenzi yake. Wimbo ni mzuri sana, Enjoy 🖤🌹
- Producer:Robby vibe
- Release Date:May 19, 2023
- Album:Green light EP





