Amesha data na Mimiii,
Tunapendana ni swadakta,
Ulimuona Wa niniiii,
Nimemuweka katakata
Una mtaka wa nini sasa akati ulimkataa
Una mfata kwanini sasa kisa unamuona anang'aa
Ooooh,
Hukumjali,hukumthamini ulimkataa aah
Hukumpenda kwa dhatiiiiii heeeeh eeeh eeh
Huna,shukurani,hukumthamini ulimkataaaa aah
Hukumpenda kwa dhatiii eeeh
CHORUS
WE ACHANA NAE
ACHANA NAE
WE ACHANA NAE
ACHANA NAE
VERSE 2
Vile akitaka namkatia
Akitaka Nampatia
Na akitaka nampatia
Na akitaka nampa
Anachotaka makhabuba...
- Producer:Dj Rachidy
- Release Date:December 3, 2023


