Waboe wimbo unaonesha taswira ya kuwabeza watu ambao hawapo tayari kuona mafanikio na hawataki ufanikiwe basi Waboe imechukua nafasi ya kushushua watu wa aina hiyo na kunipa nguvu ya kuendelea kufanya nachoamini na kiweza kwa ustadi na uwezo mkubwa #WABOE
- Producer:Palla midundo
- Release Date:May 9, 2020
- Album:Waboe





