Karibu kwenye episode nyingine ya MoreThan30 na wiki hii Niko na Adv Joshua Msambila kutoka TARO, tunazungumza kuhusu Sheria na wapiga picha. Maswali mengi muhimu yamejibiwa hapa.
Karibu utusikilize.
- Release Date:December 15, 2023
- Album:more than 30


