Track hiyo ameongelea mambo ya uhusiano kati ya wanawake na wanaume ingawa amewalenga sana kina dada ila hamaanishi kinadada wote wanatabia hizo kwani hata wavulana wanaweza kupasua kichwa kwaiyo kinadada msiuchukulie wimbo huu vibaya,kikubwa nikutulia kwenye mahusiano yenu.
- Producer:Sammy
- Release Date:February 3, 2013





