Uploaded By
VIEW PROFILE
794 Followers
Verse by 130
I play BLIND, japo nayaONA Mengi kwa Mboni/
Akili inatunza Funzo kwa nionayo MACHOni/
Mfano:- chuki, za ndugu toka udogoni/
Au unafiki wa Marafiki wanaoniteta Mgongoni/
Maskio yanachuja, vya MhiMu nitazingatia/
Japo kutowajibu[kutoa jibu] haina Maana kuwa sijasikia/
Maana najua MENGI Zaidi ya wanayoyahisi
#6thSENSE tafsiri ya MaMbo inavyoakisi/[inavyoWa-Kiss]/
Sio Vibaya kuseMa kuwa “Mi Ni NoMa”(kuaMini NoMa/ kuwa Mi[Mi] ni noMa)
Na kila nikiCHANA🗣️ ni UjuMbe si NiliSHONA🧠📚
Sili kona, “NALA changaMoto” ka sili DONA
“Nikishiba Fursa” ndo utawasikia Eti “MI NILIMSOMA”
LEGACY acha, if you know what i Mean
[Lega, See, acha if you(are at) NO(where) While i’aM IN]
KaMa MARTIN Luther KING/yeah u gotta HAVE A DREAM/
JiongoZE, jiongeZE, jiTAfute/
TUKO HAI(high) japo tuliaMbiwa Iga
- Release Date:April 25, 2023
- Producer:Randu
- Genre:Hip-Hop/Rap




