Skip to main content

TAFES ARU Jina Lake Yesu Tamu

Become the first supporter of Jina Lake Yesu Tamu

Purchasing a Support badge directly benefits TAFES ARU

0:006:16

TAFES ARU

Jina lake Yesu tamu; Tukilisikia Hutupoza, tena hamu Hutuondolea. Roho iliyoumia Kwalo hutibika, Chakula, njaani pia; Raha, tukichoka Jina hili ni msingi, Ngao, ngome, mwamba, Kwa hili napata wingi, Kwangu ni akiba. Yesu, Mchunga, Rafiki Mwalimu, Kuhani, Mwanzo, Mwisho, Njia, Haki, Uzima kifoni.

  • Producer: tafes aru
  • Release Date:

1 Comment