Burning Ice kutoka Malindi Burning Ice azungumza na Vipaji Kenya 'Kunani' akiri kashinda Pwani Awards

  • Feat. Kay B
  • Producer: Vipaji Kenya 'Kunani'
  • Added on: Nov 10th, 2015 by Vipaji Kenya
0:006:27

Uploaded by:

Vipaji Kenya

  • Followers: 4
  • Uploads: 8
  • Total Plays: 963

song Description:

Baada ya kufahamishwa kwamba Msanii anayetokea Malindi Kenya, ndiye mshindi wa tuzo za Pwani Celebrity Awards, kitengo cha Upcoming Artiste of the Year, na mmoja wa waandalizi wa tuzo hizo kwa jina Steve, mtangazaji Kay B alimtafuta kwa simu kumpongeza. Siku mbili baadaye, waandalizi waliachilia 'list' ya washindi kwenye mtandao na ikaonekana tofauti. Bawazir ndiye kashinda hiyo tuzo wala sio Burning Ice. Kunani?

Recent tracks and albums from Vipaji Kenya

0:000:00