Vesterjtz Wamiliki wa MIGODI watakiwa kuzingatia Sheria za Ajira kwa umri wa chini 18

  • Producer: #Mtz
  • Added on: Jan 5th, 2017 by Vesterjtz
0:001:50

Uploaded by:

Vesterjtz

  • Followers: 3
  • Uploads: 43
  • Total Plays: 1,788

song Description:

WAMILIKI WA MIGODI WAMEASWA KUZINGATIA SHERIA YA AJIRA MIGODINI KWA WATU WENYE UMRI WA CHINI YA MIAKA KUMI NA MINANE MWANASHERIA KUTOKA KATIKA TAASISI ISIYO YA KISERIKALI YA KUIMARISHA DEMOCLASIA NA UTAWALA BORA MAENEO YA VIJIJINI ADLG CAROLINE TIZEBA AMESEMA NI MUHIMU KUZINGATIA SHERIA KWANI KUMWAJILI MTOTO MDOGO AMBAE YUKO CHINI YA MIAKA KUMI NA NANE NI KOSA KISHERIA

Recent tracks and albums from Vesterjtz

Featured Music

0:000:00