Vesterjtz LUKUVI aacha Mgogoro kati ya Wenyeviti wa MITAA na Mkurugenzi MWANZA

  • Producer: #Mtz
  • Added on: Oct 25th, 2016 by Vesterjtz
0:0042:07

Uploaded by:

Vesterjtz

  • Followers: 3
  • Uploads: 43
  • Total Plays: 1,733

song Description:

Umoja wa wenyeviti wa serikali za mitaa jijni mwanza wamesimamia msimamo wao wa kutorejesha mihuri kwa mkurugenzi wa jiji la mwanza Haya yanajiri baada ya mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya jiji la mwanza kiomoni kibamba kuendelea kutoa tamko la kuwataka wenyeviti wa serikali za mitaa jijini mwanza kumrejeshea mihuri kwani wenyeviti hao hutumia mihuri kinyume cha taratibu. HAMZA SHIDO ni katibu wa umoja wa wenyeviti wa mitaa jijini mwanza na bwana KEFA DICKSON OTIENO ni kaimu mwenyekiti wa umoja wa wenyeviti wa mitaa jijini mwanza wamezungumzia kuhusu msimamo walionao kama wenyeviti wa serikali za mitaa.

Recent tracks and albums from Vesterjtz

Featured Music

0:000:00