Vesterjtz Habari Mchanganyiko Dec 12 ya #AFYA RADIO

  • Producer: #Mtz
  • Added on: Dec 12th, 2016 by Vesterjtz
0:0022:56

Uploaded by:

Vesterjtz

  • Followers: 3
  • Uploads: 43
  • Total Plays: 1,680

song Description:

WASAFIRISHAJI WA ABIRIA WANAOFANYA SAFARI ZAO KATI YA BUHONGWA NA MAENEO MENGINE YA JIJI LA MWANZA WAMEIOMBA SERIKALI KUHAMISHIA KITUO CHA DALADALA CHA BUHONGWA KATIKA ENEO LA NYANSHISHI WILAYANI MISUNGWI ILI KUEPUSHA MSONGAMANO NA MATUKIO YA AJALI YANAYOTOKEA MARA KWA MARA KATIKA ENEO HILO. RWANDA IKO MBIONI KUFANYA UCHAGUZI WA RAIS AGOSTI, 2017 WATOTO WATEKELEZA SHAMBULIO LA MABOMU SOKONI NIGERIA RAIS MTEULE WA MAREKANI DONALD TRUMP AMETILIA SHAKA IWAPO SERA YA MAREKANI YA KUENDELEA KUTAMBUA CHINA KAMA TAIFA MOJA ITAENDELEA, HATUA ILIYOZUA GHADHABU KUTOKA KWA VYOMBO VYA HABARI VYA SERIKALI NCHINI CHINA

Recent tracks and albums from Vesterjtz

Featured Music

0:000:00