Tubonge TZ Aika na Nahreel waanika ugomvi wao mkubwa kwa mwaka 2015

  • Added on: Dec 24th, 2015 by Tubonge TZ
0:000:32

Uploaded by:

Tubonge TZ

  • Followers: 201
  • Uploads: 202
  • Total Plays: 325,475

song Description:

Moja ya Couple maarufu katika tasnia ya Bongo Fleva, Aika na Nahreel wanaounda kundi la Navy Kenzo, wameshare na mashabiki wao ugomvi wao mkubwa kwa mwaka 2015, chanzo kikiwa ni kurekodi vesi katika ngoma yao ya Game. Akiongea na eNewz, Aika ameeleza kuwa, aligombana na Nahreel mpenzi wake huyo kukataa vesi zake katika rekodi ya game, ambapo alilazimika kurudia kufanya mara tatu, na baada ya hapo pia kulazimika kuifanya tena baada ya kukamilisha kupiga picha za video yake. Aika anasema kuwa, ugomvi huo ulizimwa baada ya rekodi yenyewe kufanya vizuri, akieleza kuwa kama ingekuwa vinginevyo, wangekuwa wamenuniana mpaka sasa...

Recent tracks and albums from Tubonge TZ

Featured Music

0:000:00