Rais Dkt. John Pombe Magufuli Hotuba ya Rais Uzinduzi wa Mpango wa Ugawaji Madawati Jana July 13, 2016.

  • Producer: Ikulu
  • Added on: Jul 14th, 2016 by Mwanawamakonda Blog
0:0027:23

Uploaded by:

Mwanawamakonda Blog

  • Followers: 6
  • Uploads: 9
  • Total Plays: 8,080

song Description:

Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuzindua mpango wa ugawaji wa madawati yanayotengenezwa kutokana na fedha zilizotolewa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kubana matumizi katika bajeti yake. Uzinduzi huo umefanyika jana tarehe 13 Julai, 2016 katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es salaam ambapo Rais Magufuli amekabidhi madawati 537 kwa mbunge wa jimbo la Ilala Mheshimiwa Mussa Azan Zungu kwa niaba ya wabunge wa majimbo yote ya Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar ambayo yatagawiwa idadi hiyohiyo ya madawati kwa kila jimbo

Recent tracks and albums from Mwanawamakonda Blog

Featured Music

0:000:00