Mpekuzi blogMbowe Alaani Kitendo cha Polisi Kumshikilia LOWASSA Kwa Masaa Matatu

0:004:09

Uploaded by:

Mpekuzi blog

  • Followers: 8
  • Uploads: 57

song Description:

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amelaani kitendo cha polisi wa Mkoa wa Geita kumshikilia kwa zaidi ya saa tatu Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa alipokuwa njiani kwenda kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo Kata ya Nkome wilayani Geita juzi.

Recent tracks and albums from Mpekuzi blog

0:00 / 0:00