indyStreet2.0 - #HipHopAddition Announcement_IndyStreet2.0

0:005:53
  • Followers: 6
  • Uploads: 9
  • Total Plays: 899

song Description:

Hapa Utapata Kusikia maelezo zaidi jinsi ambavyo show nzima itakua ikiendeshwa kutoka kwa Host & Producer wa #i2.0 Karibu sana. Show itapatikana hapa kwenye hii Channel siku ya ya tarehe 4th mwezi wa Pili mwaka huu 2017 hiyo ndio Ahadi Rasmi ambayo nimeileta kwenu. Support yako ya namna yeyote inahitajika hapa iwe ni kwa ku - post hivi vipindi / matangazo kwenye social media au kwa Donation yeyote ile...Tunapokea kuanzia 500/- ya kitanzani kwa ajili ya uendeshaji & uzalishaji wa kipindi & Unaweza kutuma mchango wako kupitia namba ifuatayo - +255 682 505 651 (Airtel Line) ... #LOL Karibu.

Recent tracks and albums from indyStreet2.0 - #HipHopAddition

Featured Music

0:000:00