GWIRISHA MJEMA MAISHA YANAPITA

  • Added on: Jun 27th, 2016 by injilileo Blog
0:004:32

Uploaded by:

injilileo Blog

  • Followers: 9
  • Uploads: 48
  • Total Plays: 14,843

song Description:

Muimbaji na mwalimu wa nyimbo za injili toka Chuo cha Usimamizi (IFM) pia akitokea kikundi cha Vega Capella Gwirisha Mjema, ametoa wimbo wake mpya ukijulikana kwa jina la wimbo "MAISHA YANAPITA" na akiongea na injilileo Blog alisema haya juu ya wimbo wake;- "Kwa ujumla wimbo unahusu maisha mwanadamu ya hapa Duniani ni mafupi hivyo kama wanadamu lazima tujiulize tufanye nini ili tuweze kuishi tena katika Mbingu mpya na nchi mpya"-alisema Gwirisha Bofya hapa kudownload kuusikiliza

Recent tracks and albums from injilileo Blog

Featured Music

0:000:00