Global Publishers GPL Kauli ya Tundu Lissu kwa Rais Magufuli leo August 9 2016

  • Added on: Aug 9th, 2016 by Global Publishers
0:003:03

Uploaded by:

Global Publishers

  • Followers: 0
  • Uploads: 6
  • Total Plays: 1,622

song Description:

Leo mchana, Jumanee Agosti 9, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimefnya mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam ili kutoa taarifa kwa umma kuhusu taarifa za vitisho wanazokuwa wakizipata kutoka serikalini. Mwanasheria Mkuu wa wa chama hicho ambaye pia ni Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mhe. Tundu Antipas Lissu amesema hakuna mtu kutoka Chadema anayetaka kumjaribu mtukufu Rais na wala hakuna anayetaka kukamatwa na polisi kwa sababu mahabusu sio pazuri. "Tunachotaka kukifanya ni ambacho kipo katika katiba, mikutano na maandamano ya kisiasa kwakuwa ni halali. Kama kufanya hivyo Rais Magufuli anafikiri tunamjaribu hayo ni mawazo yake" Amesema Tundu Lissu.

Recent tracks and albums from Global Publishers

Featured Music

0:000:00