Tanzania Female Artist Simama Nami

  • Added on: Feb 24th, 2015 by DJ CHOKA
0:003:45

Uploaded by:

DJ CHOKA

  • Followers: 1,073
  • Uploads: 839
  • Total Plays: 1,863,894

song Description:

Huu ni wimbo maalumu ulioimbwa na wasanii wa kike kutoka TANZANIA, wimbo huu unahusu janga la mauaji la ALBINO nchini Tanzania na duniani kote. Wimbo umeimbwa na wasanii hawa 1. Kajala (Bongo Movie), 2.Shamsa Ford (Bongo Movie), 3. Keisher (Bongo Flava Artist) 4. Mwasiti (Bongo Flava), 5. Linah (Bongo Flava), 6. Grace Matata (Bongo Flava), 7. Jack Wolper (Bongo Movie), 8. Irene Uwoya (Bongo Movie) 9. Shilole (Bongo Flava/Bongo Movie) 10. Khadijanito (Bongo Flava) 11. Zamaradi (Mtangazaji wa Radio) Powered by www.djchokamusic.com

Recent tracks and albums from DJ CHOKA

Featured Music

0:000:00